WAZIRI MKUU ASHIRIKI UFUNGUZI WA JUKWAA LA MAAFISA WATENDAJI WAKUU AFRIKA 2025
_▪️Rais Ouattara asisitiza uongezaji thamani wa mazao_ WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu barani Afrika ulioanza leo Mei 12, 2025, katika ukumbi wa hoteli ya Sofitel jijini Abidjan, Ivory Coast. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo ambao umefunguliwa na Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara na kuwakutanisha...
NAIBU MSAJILI WA VYAMA ATUMA SALAMU KWA VYAMA VYA SIASA
Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Kijamii cha CCK David Daudi Mwaijolele ambaye pia amepitishwa kwa kupigiwa kura kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bara akizungumza katika mkutano Mkuu maalum wa Chama hicho ambao umefanyika tar 10/5/2025 jijini Dar es salaam. Naibu Msajili wa vyama vya siasa nchini Sisty Nyahoza akizungumza na wajumbe wa Chama Cha...
BALOZI NCHIMBI ASHIRIKI KUMUAGA MZEE MSUYA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa salaam na heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, Makamu wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu, shughuli iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya ibada, iliyofanyika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar...
WAZIRI MAVUNDE: MGODI WA MAGAMBAZI WILAYANI HANDENI KUANZA KAZI JULAI 2025
▪️ Kampuni ya kuendeleza mgodi kupatikana mwezi wa 5 mwishoni ▪️ Wananchi wamshukuru Rais Samia kwa kusimamia kuanza tena kwa shughuli za Mgodi Magambazi ▪️Wilaya ya Handeni kuongeza mapato zaidi ▪️Waziri Mavunde asisitiza ajira kwa wananchi wanaouzunguka Mgodi *Handeni, Tanga* Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameeleza kuwa Mgodi wa Kati wa Dhahabu wa Magambazi uliopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga utaanza kufanya...
RHMT NA CHMT SIMAMIENI MIRADI YA AFYA – DKT. MFAUME
Mkurugenzi wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amezielekeza timu za usimamizi wa afya ngazi za Mikoa (RHMT) na ngazi za Halmashauri (CHMT) na timu za usimamizi wa vituo vya afya kusimamia miradi ya afya inayotekelezwa katika maeneo yao Kwa ukaribu zaidi. Dkt. Mfaume amesema hayo wakati wa majumuisho ya...