SIDO YASHIRI MAONESHO YA NANENANE KITAIFA JIJINI MBEYA
Na: Hughes Dugilo, MBEYA.Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) limetoa mwito kwa wajasiriamali hususani wanaojihusisha na kilimo na bidhaa za usindikaji kujihepusha na watu wanaotoa mafunzo mitaani na badala yake kufika katika vituo vya SIDO vilivyoeneoa nchi nzima ili kupata mafunzo sahihi na kuweza kufikia malengo yao kwa kuzalisha bidhaa zenye ubora.Akizungumza katika mahojiano maalum katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika...
BoT KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA
Mkurugenzi wa Utumishi na Uendeshaji BoT, Bw. Kened Nyoni na Mkurugenzi wa Tawi la BoT Mbeya, Bw. Ibrahim Malogoi, wakijadiliana jambo na Afisa Mkuu Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma BoT, Bw. Lwaga Mwambande, katika banda la BoT kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Katikati ni Kaimu Meneja, Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki BoT, Bi....
WAKILI MALENGA ATAKA VYOMBO VYA HABARI KULINDWA KISHERIA
VYOMBO vya habari kwa sasa vinaweza kukosoa tofauti na miaka mitano ama sita iliyopita, lakini tatizo ni kwamba kukosoa huko hakulindwi kisheria.Ni kauli ya James Marenga, Wakili wa Kujitegenea akizungumza na Kituo cha Televisheni cha Azam katika Kipindi cha Morning Trump leo tarehe 2 Agosti 2022.Wakili Marenga amesema, kwa sasa vyombo vya habari nchini vinaandika na hata kukukosoa lakini...
BENKI KUU YA TANZANIA (BoT) YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA
Kaimu Meneja wa Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania BoT Bi. Vick Msima katikati, Dennis Alfred Afisa Utawala BoT na Florahl Mkemwa Afisa kutoka BoT wakiwa katika banda la benki hiyo katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kwenye maonesho ya Nanenane 2022 ambako Benki hiyo inashiriki.Hassan Mbaga Mchambuzi wa Masuala ya Fedha BoT na Pamela Kombe Mhasibu...
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA NIC KUANZISHA BIMA YA MAZAO AWATAKA WAKULIMA KUCHANGAMKIA FURSA HIYO.
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde (kushoto) akimsikiliza Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Justine Seni (kulia) mara wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Banda la Shirika hilo kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na NIC katika maonesho ya Nanenane Jijini Mbeya.Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde (kushoto) akizungumza kwenye mahojiano maalum na waandishi wa habari hawamo pichani mara baada ya...
TFRA YAWAHIMIZA WAKULIMA KUJIUNGA KATIKA MFUMO WA MBOLEA YA RUZUKU
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Dkt. Stephan Ngailo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) katika mkutano maalum na waandishi hao kuelezea hali ya upatikanaji wa mbolea kwa wakulima. Mkutano huo umefanyika leo Ogasti 2-2022 katika Banda la Mamlaka hiyo kwenye Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. (kulia)...