Home BUSINESS BENKI KUU YA TANZANIA (BoT) YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

BENKI KUU YA TANZANIA (BoT) YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

Kaimu Meneja wa Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania BoT Bi. Vick Msima katikati, Dennis Alfred Afisa Utawala BoT na Florahl Mkemwa Afisa kutoka BoT wakiwa katika banda la benki hiyo katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kwenye maonesho ya Nanenane 2022 ambako Benki hiyo inashiriki.

Hassan Mbaga Mchambuzi wa Masuala ya Fedha BoT na Pamela Kombe Mhasibu Mwandamizi BoT wakitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea  katika banda la benki hiyo kwenye Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya katika maonesho ya Nanenane 2022 ambako Benki hiyo inashiriki.

Bi. Joyce Njau Afisa Mwandamizi Kurugenzi ya Mifumo ya malipo ya Taifa na Revocatus Kishimba Afisa Mwandamizi mifumo ya Malipo wakizungumza na mmoja wa wananchi waliofika katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya Nanenanei Uwanja wa John Mwakangale mjini Mbeya.

John Rhodes Mero Mchumi Mkuu BoT Angelina Mhoja Mchumi Mwandamizi wakizungumza na Hughes Dugilo Mkurugenzi Mtendaji wa Greenwavesblog wakati alipotembelea katika banda la benki hiyo ili kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli zao.

Beatrice Ollotu Afisa Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT na Dennis Alfred Afisa Utawala BoT wakimuangalia Bw. Raphael Erasto mmoja wa wananchi wajiji la Mbeya waliofika katika banda la benki hiyo.  

Muonekano wa Banda la BoT katika picha. 

Previous articleNAIBU WAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA NIC KUANZISHA BIMA YA MAZAO AWATAKA WAKULIMA KUCHANGAMKIA FURSA HIYO.
Next articleWAKILI MALENGA ATAKA VYOMBO VYA HABARI KULINDWA KISHERIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here