KINANA AFAFANUA KUHUSU RAIS SAMIA…WANAOSEMA NI RAIS WA KATIBA SIO WAKWELI, WASISIKILIZWE
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa kongamano la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan lililoandaliwa na CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, na kufanyika Mahonda Wilaya ya Kaskazini B.Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akipokea matembezi ya wana CCM ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyofanyika Wilaya ya Kaskazini B,...
RAIS DK.HUSSSEIN MWINYI AHUTUBIA KILELE CHA SIKU YA VIJANA KIMATAIFA UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDULWAKIL KIKWAJUNI UNGUJA JIJINI ZANZIBAR.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)WAZIRI Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika ukumbi...
ZIARA YA CHONGOLO BANDARINI TANGA NA MKINGA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Meneja wa Bandari Tanga Ndugu Masoud Athuman Mrisho pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Chama wakati wa kukagua maendeleo ya upanuzi wa bandari ya Tanga utakaowezesha meli kubwa za mizigo kutia nanga.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI UKARABATI NA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE IRINGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa. Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi imefanyika katika Mtaa wa Mapanda kata ya Nduli Mkoani Iringa tarehe 12, Agosti, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
RC SHIGELLA ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO HALMASHAURI ZA GEITA.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe Martin Shigella akizungumza na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Bukombe.Mkuu wa wilaya ya Bukombe mhe, Said Nkumba akizungumza na watumishi wa wilaya ya Mbongwe mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe, Martin ShigellaBaadhi ya watumishi na Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya BukombeNa: Costantine James, GeitaMkuu wa Mkoa Geita Mhe, Martin...