Home Uncategorized ZIARA YA CHONGOLO BANDARINI TANGA NA MKINGA

ZIARA YA CHONGOLO BANDARINI TANGA NA MKINGA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Meneja wa Bandari Tanga Ndugu Masoud Athuman Mrisho pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Chama wakati wa kukagua maendeleo ya upanuzi wa bandari ya Tanga utakaowezesha meli kubwa za mizigo kutia nanga.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Bandari Tanga Ndugu Masoud Athuman Mrisho (kulia) mara baada ya kutembelea bandari ya Tanga na kujionea maboresho yatakayosaidia kupokea meli kubwa za mizigo.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Bandari Tanga Ndugu Masoud Athuman Mrisho (kushoto) mara baada ya kutembelea bandari ya Tanga na kujionea maboresho yatakayosaidia kupokea meli kubwa za mizigo.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Zahara Abdul Msangi (katikati) wakati wa mkutano wa Viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi.
Previous articleRAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI UKARABATI NA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE IRINGA
Next articleRAIS DK.HUSSSEIN MWINYI AHUTUBIA KILELE CHA SIKU YA VIJANA KIMATAIFA UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDULWAKIL KIKWAJUNI UNGUJA JIJINI ZANZIBAR.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here