TANZANIA NDIO NCHI PEKEE DUNIANI AMBAPO KOSA LA KASHFA KWA MWANAHABARI LINGEUZWA KUWA JINAI; MEENA

0

Ni kauli ya Neville Meena, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), wakati akizungumza na Kituo cha Radio cha Dodoma (Dodoma FM) leo tarehe 18 Agosti 2022. “Mpaka sasa Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo madai ya kashfa kwa mwanahabari yanageuzwa na kuwa kosa la jinai. Hili huwezi kulikuta kokote,’’ amesema. Amesema, kashfa inapaswa kubaki kuwa madai...

BASI LAUA WATANO SINGIDA AKIWAMO DIWANI WA CCM IRAMBA, HALMASHAURI YAMLILIA

0

  Na: Dotto Mwaibale, Singida WATU watano wamefariki dunia akiwamo Diwani wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Tarafa ya Kinampanda wilayani Iramba mkoani hapa, Winjuka Mkumbo na wengine 15 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Tanzanite kupinduka. Kufuatia kifo cha Diwani huyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Innocent Msengi alisema halmashauri hiyo imempoteza mtu muhimu...

WAFANYABIASHARA RASIMISHENI BIASHARA ZENU BRELA ILI KUZIPA ULINZI: MKAPA

0

Mkurugenzi wa Leseni wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Andrew Mkapa amewataka wafanyabiashara kurasimisha biashara zao BRELA ili kuzipa ulinzi wa kisheria. Bw. Mkapa ametoa rai hiyo mapema leo wakati akihojiwa katika studio za redio Arnuur ya Jijini Tanga. Bw. Mkapa amesema mfanyabiashara anaporasimisha biashara yake inakuwa ni rahisi kupata fursa mbalimbali za kibiashara ikiwa ni...

WAZIRI UMMY AFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU MWAKILISHI MKAZI WA WHO TANZANI

0

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Tanzania Dkt. Zabron Yoti pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF)nchini Bi.Shalini Bahuguna katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo Yao, Waziri Ummy Mwalimu amesema...

NCHI JIRANI WAALIKWA TANZANIA KUJIFUNZA NAMNA HUDUMA ZA AFYA ZINAVYOTOLEWA

0

Na. WAF - Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amezitaka nchi Jirani kuendelea kuja nchini kujifunza namna ambavyo huduma za afya za kibingwa na bobezi zilivyoboreshwa nchini zinavyotolewa kwa kutumia mifumo na teknolojia za kisasa. Naibu Waziri amesema hayo leo wakati alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete akiwa ameongozana na Naibu Waziri wa Afya...