MAKAMU WA RAIS AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA. 

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo tarehe 12 Mei 2025 kwaajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu hayati. Cleopa David Msuya yatakayofanyika tarehe 13 Mei 2025 Wilayani...

WAUGUZI WATAKIWA KUWA WAADILIFU, WAGUNDUZI KATIKA KAZI

0

Na, WAF-Iringa. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amewataka wauguzi kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na uzalendo, huku akisisitiza umuhimu wa kulinda miiko na maadili ya taaluma ya uuguzi ili kuhakikisha huduma bora kwa wananchi. Akizungumza leo Mei 12, 2025 katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Iringa, Dkt. Mollel amewaasa wauguzi kuendelea...

GSM FOUNDAION NA YANGA WACHANGIA MILIONI 50 ZA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO

0

Rais wa klabu ya mpira ya Yanga Eng. Hersi Said akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 fedha zilizotolewa na GSM Foundation na klabu hiyo kwa ajili ya kulipia gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotoka katika familia zenye uwezo mdogo kiuchumi wanaotibiwa katika taasisi...

MHE.RAIS SAMIA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KWAAJILI YA KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID  MSUYA YATAKAYOFANYIKA WILAYANI MWANGA.

0

   http://MHE.RAIS SAMIA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KWAAJILI YA KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID  MSUYA YATAKAYOFANYIKA WILAYANI MWANGA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu...

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAWALETA PAMOJA TEF, PPRA KATIKA KIKAOKAZI

0

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Msajili wa Hazina Sabato Kosuri akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri TEF katika kikao hicho Bakari MachumuMkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Msajili wa Hazina, Sabato Kosuri (kulia), akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Bakari Machumu (kushoto), katika kikaokazi kati ya PPRA...

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI KUAGWA KWA HAYATI CLEOPA MSUYA.

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kushiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu hayati Cleopa David Msuya. Tarehe 11 Mei 2025. Makamu...