MHE.RAIS SAMIA NA VIONGOZI MBALIMBALI WASHIRIKI IBADA MAALUMU YA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine wa Serikali, wakishiriki katika ibada maalumu ya mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema; Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, Usharika wa Usangi Kivindu, mkoani Kilimanjaro, leo...
HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA
Iringa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi-Tamisemi anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila amezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu zoezi la usafi wa barabara, akisisitiza kuwa serikali imewekeza fedha nyingi katika ujenzi wa miundombinu hiyo muhimu. Mhandisi Mativila amesema hayo mkoani Iringa wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Wenda–Mgama Km.19 inayojengwa na TARURA kupitia mradi wa RISE kwa...
NAIBU WAZIRI UMMY AZINDUA MIRADI YA KIUCHUMI YA WENYE ULEMAVU
Na Mwandishi wetu- Dar es salaam Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya Shirika lisilo la Kiserikali la Strategic Alternative Learning Technique (SALT), inayohudumiwa na vijana wenye changamoto za ufahamu. Mhe. Nderiananga alifanya uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam kwa miradi ambayo ni pamoja na Salt Special...
WANANCHI WA MKOA WA KILIMANJARO WAWASILI KUSHIRIKI IBADA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA.
Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na mikoa ya jirani, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwasili katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema; Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, Usharika wa Usangi Kivindu, mkoani Kilimanjaro, leo Mei 13, 2025, kushiriki ibada maalumu ya mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 13 -2025
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 13 -2025 HAYA
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo tarehe 12 Mei 2025 kwaajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu hayati. Cleopa David Msuya yatakayofanyika tarehe 13 Mei 2025 Wilayani...