UTALII TANZANIA WAZIDI KUNOGA, MAWAKALA 120 WA MAREKANI WAVUTIWA
Na Mwandishi Wetu, Serengeti
Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari ya...
SADC WAMPONGEZA RAIS DK.SAMIA KWA USHINDI UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imechukua hatua...
HIFADHI YA MPANGA-KIPENGERE YAENDELEA KUWA LULU YA VIZAZI VIJAVYO.
http://HIFADHI YA MPANGA-KIPENGERE YAENDELEA KUWA LULU YA VIZAZI VIJAVYO
Wanafunzi wa Nyanda za Juu Kusini Wapiga Kambi Kujifunza na Kutali
Na Beatus Maganja, Njombe.
Wahenga walioshiba tunu...
SERIKALI YAHIMIZA ULINZI, UTULIVU SEKTA YA MAFUTA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa wananchi kudumisha amani na kulinda miundombinu ya mafuta akisema jiji hilo...
SALAMU ZA PONGEZI KWA MHESHIMIWA HAMZA SAIDI JOHARI
Chama cha Mawakili wa Serikali kinatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Hamza Saidi Johari kwa kuteuliwa tena kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi huu...







