KUTOKA MAGAZETINI J.TATU YA LEO MEI 10-2021.

0
 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA UALIMU SERIKALINI 2021

0
 Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR -TAMISEMI) imepata kibali cha ajira za Watumishi wa Kada mbalimbali za Afya 2,726...

PROFESA MDOE AWAKARIBISHA WATANZANIA KUJIFUNZA MBINU BORA ZA KILIMO BANDA LA TARI DODOMA.

0
DODOMA.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. James E Mdoe, amewataka wananchi jijini Dodoma kuendelea kutembelea banda la Taasisi ya Utafiti...

BRELA YAWATAKA WABUNIFU KUSAJILI VUMBUZI ZAO.

0
Afisa Mwandamizi- Utumishi na Utawala kutoka Idara ya Miliki Ubunifu BRELA, Bw Raphael Mtalima akifafanua juu ya sifa za Uvumbuzi unaoweza kusajiliwa kama Hataza...

MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA WA TABORA WAZINDULIWA.

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe pamoja na viongozi alioambata nao wakionesha kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji...

KUANZISHWA KWA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI CHA GGR KUCHANGAMSHA UCHUMI WA GEITA-WAZIRI BITEKO

0
Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha GGR...