KUTOKA MAGAZETINI J.TANO YA LEO MEI 12-2021.
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
TMDA YAWAPIGA MSASA WAKAGUZI WA DAWA NA VIFAA TIBA SHINYANGA… RMO ATAKA UDHIBITI WIZI...
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa dawa na vifaa tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi Dkt Edga Mahundi, akizungumza kwenye mafunzo ya wakaguzi.Mganga Mkuu...
TMDA YATOA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA MOROGORO.
TMDA yatoa elimu juu ya matumizi sahihi na dawa na utoaji wa madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kwa wanafunzi wa shule za Sekondari ...
WASAIDIENI WABUNIFU WACHANGA – WAZIRI MKUU
DODOMA.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi na mamlaka ambazo zinashiriki kuendeleza wabunifu wachanga zihakikishe zinawawezesha kubiasharisha ubunifu na uvumbuzi wao. “Taasisi za sayansi na teknolojia;...
NTD IMEJIPANGA KUTOKOMEZA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE IFIKAPO 2030
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Rashid Mchatta akifungua kikao kazi Cha uraghibishaji na uhamasishaji...
MNEC HAPPINESS MGONGO AWATAKA VIJANA KUMSAIDIA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
Na:Halfani Akida.Mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa, Bi. Happiness Mgongo amewataka vijana wa Chama Cha Mapinduzi na Tanzania kwa ujumla kumsaidia kumuunga mkono na kumsaidia...