Home LOCAL TMDA YATOA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA MOROGORO.

TMDA YATOA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA MOROGORO.

TMDA yatoa elimu juu ya matumizi sahihi na dawa na utoaji wa madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kwa wanafunzi wa shule za Sekondari  za Uwanja wa Taifa Mkoani Morogoro na kata ya  Mwembesongo

Kazi inaendelea ya utoaji Elimu kwenye vikundi vya wajasiriamali kata ya mwembesongo Mkoani Morogoro tarehe 11 Mei, 2021.

Bw. James Ndege, afisa Elimu kwa Umma akitoa Elimu kwa wanafunzi wa Sekondari ya Uwanja wa Taifa juu ya matumizi sahihi ya dawa

Previous articleWASAIDIENI WABUNIFU WACHANGA – WAZIRI MKUU
Next articleTMDA YAWAPIGA MSASA WAKAGUZI WA DAWA NA VIFAA TIBA SHINYANGA… RMO ATAKA UDHIBITI WIZI DAWA ZA SERIKALI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here