RIDHIWANI KIKWETE, WANANCHI CHALINZE WAMWOMBEA RAIS SAMIA
Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameongoza wananchi wa jimbo lake katika dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na...
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU JAJI WEREMA.
_▪️Rais Dkt. Samia asema Jaji Werema alikuwa kiongozi mwenye misimamo_
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
NANI KUWA MRITHI WA KINANA CCM?
Na Mwandishi Wetu
NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM...
WAZIRI MKUU KUONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JAJI WEREMA KARIMJEE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa marehemu...
BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR LATOA TAARIFA ZA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA...
Na Sabiha Khamis,
Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-aziz Mukki amesema kwa mujibu wa matokeo ya Mtihani wa...
POLISI ARUSHA WAJIPANGA KUIMARISHA USALAMA MKESHA WA MWAKA MPYA
Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na...