KATIBU MKUU WA CCM Dkt. MIGIRO ASHIRIKI MKUTANO WA WAZEE WA DSM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro ameshiriki mkutano wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika Kituo cha...
TUTAENDELEA KUILINDA NCHI YETU, USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO WAKATI WOTE
Na: Mwandishi Wetu, DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake itaendelea kuhakikisha amani, utulivu na mshikamano...
MAWAZIRI MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA RAIS SAMIA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM JNICC
Mawaziri mbalimbali wakiwa katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Wazee wa Dar es Salaam ambapo...
WAZIRI MAVUNDE AMPONGEZA RMO MIRERANI KASEZA
Na Mwandishi wetu, Mirerani
WAZIRI wa Madini Mhe Anthony Peter Mavunde, amempongeza Afisa madini mkazi (RMO) wa mkoa wa kimadini wa Mirerani, George Kaseza kwa...
DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VVU (ARV) ZIPO KWA ASILIMIA 100 NCHINI; WAZIRI LUKUVI
Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Mhe. William V. Lukuvi, amewahakikishia Watanzania kuwa...







