HABARI KUU ZILIZOTAWALA MAGAZETI YA LEO J.TATU MEI 17-2021.
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
KANISA LA BCC TAG NYANTILA LAANDAA ‘NYAMA CHOMA DAY’ KWA VIJANA.
Mchungaji wa Kanisa la BCC TAG lililopo Nyantila Jijini Dar es Salaam Eliya Mwangosi akiongoza Ibada maalum ya vijana mbalimbali wakati wa...
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE SHEREHE YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Anglikana...
MKURUGENZI MTENDAJI LHRC AWAFUNDA VIJANA DAR NA PWANI
Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Bi. Anna Henga (katikati) akizungumza na vijana alipokuwa akifungua Kongamano la Vijana toka...
ZAIDI YA WANANCHI ELFU 27 WAPATIWA ELIMU KUHUSU UBORA WA BIDHAA...
WANAFUNZI wa shule za Msingi na Sekondari 15,526 na wananchi 12,250 wanaoendesha shughuli zao kwenye maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu, kama...