VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 27-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
WAKAGUZI WA NDANI BARA LA AFRIKA WAKUTANA JIJINI ARUSHA.
Mwenyekiti wa Taasisi ya wakaguzi bara la Afrika(AFIIA) Emmanuel Johanes akioongea na waandishi wa habari katika mkutano wao wa saba.Jafary Kachenje Mkaguzi mkuu wa...
MADIWANI WAASWA KUWA DARAJA KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI 2020-2025.
DODOMA.Madiwani wa watokanao na Chama Cha Mapinduzi nchini wameaswa kuwa daraja la utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-25 kutokana na...
WIZARA YA AFYA KUJA NA MFUMO WA UFUAUTILIAJI WA WAJAWAZITO NCHI...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akisema jambo kwenye kikao kazi cha maandalizi ya mfumo wa ufuatiliaji...
RC MAKALLA AAGIZA MALIPO YA FIDIA MTO NG’OMBE YAFANYIKE JUMATATU.
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.Amos Makalla ameelekeza ulipaji wa fidia ya wananchi Mto Ng'ombe ufanyike Jumatatu ya wiki ijayo...
JESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA MAUAJI DODOMA.
DODOMA.JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa kufanya mauaji ya Samsoni Kikoti (56) kwa kutumia silaha aina ya Gobole pamoja na silaha...