Home Uncategorized RC MAKALLA AAGIZA MALIPO YA FIDIA MTO NG’OMBE YAFANYIKE JUMATATU.

RC MAKALLA AAGIZA MALIPO YA FIDIA MTO NG’OMBE YAFANYIKE JUMATATU.

DAR ES SALAAM.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.Amos Makalla ameelekeza ulipaji wa fidia ya wananchi Mto Ng’ombe ufanyike Jumatatu ya wiki ijayo baada ya taratibu zote kukamilika.
RC Makalla ameyasema hayo alopokutana na watendaji wa taasisi mbalimbali zikizopo ktk mkoa wake kwa lengo la kufahamiana, kupokea taarifa na changamoto.
Utekelezaji wa ulipaji wa fidia wananchi mto Ng’ombe ni kufuatia agizo la katibu mkuu wa CCM Ndg Daniel chongolo alilolitoa tarehe 22 mwezi huu na Kuagiza Mkuu wa mkoa kulifuatilia Suala Hilo na kulipatia ufumbuzi ndani ya wiki moja.
Previous articleJESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA MAUAJI DODOMA.
Next articleWIZARA YA AFYA KUJA NA MFUMO WA UFUAUTILIAJI WA WAJAWAZITO NCHI NZIMA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here