WAZALISHAJI WA CHAKULA WAMETAKIWA KUZINGATIA USALAMA WA CHAKULA KATIKA UTAYARISHAJI.
Afisa Usalama wa Chakula Mwandamizi wa TBS, Bi.Imakulata Justin akizungumza na waandishi wa habari leo kuelekea Siku ya Chakula Salama Duniani, katika...
ZIARA YA MHE DKT, DUGANGE JIMBONI WANGING’OMBE MEI 21 HADI 23,...
Na Maiko Luoga NjombeMbunge wa Jimbo la wanging'ombe Mkoani Njombe na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt, Festo Dugange amefanya ziara ya siku...
KUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.TANO JUNI 2-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
NEEC YAWAITA WADAU KUJADILI NAMNA WANANCHI KUSHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO.
DAR ES SALAAM.Katibu Mtendaji wa Baraza la uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) Beng'i Issa leo Juni 1 amezindua washa ya wadau kujadiliana na kupitia rasimu...
WAZIRI UMMY ATANGAZA WANAFUNZI 148,127 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu,akizungumza na waandishi wa habari wakati...
BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SH.BILIONI 54 YA WIZARA YA HABARI KUTEKELEZA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akitoa hoja ili Bunge lipitishe Bajeti ya Wizara hiyo ya Makadirio ya...