MAGAZETI YA LEO J.TANO JUNI 16-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
BRELA YAWANOA MAAFISA BIASHARA KUTOKA MIKOA YA IRINGA, RUVUMA NA NJOMBE.
Baadhi ya Washiriki wakifuatilia mafunzo ya BRELA.NJOMBE.Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inatoa mafunzo kwa maafisa biashara kuhusu Sheria ya Leseni za...
RC MAKALLA AWAOMBA MADIWANI KUMUUNGA MKONO KWENYE AJENDA YA USAFI DAR...
DAR ES SALAAM.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewaomba madiwani na Wenyeviti wa mtaa kushiriki kikamilifu katika kuhamasisha jamii katika...
KUTANA NA KAMPUNI YA LAZARO ENERGY GROUP WABUNIFU WA MAJIKO MBADALA...
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hivi karibuni zimeadhimisha siku ya mazingira Duniani ambapo kitaifa zilifanyikia katika viwanja vya Mnazi mmoja vilivyopo ndani ya...
BALOZI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI
Picha ya pamoja kati ya Mhe. Waziri Mulamula na Mhe. Balozi WrightWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi...
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIJANA WA MWANZA KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA UWANJA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana wa Mkoa wa Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021...