AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0:0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.

0
RUANGWA, LINDI.TIMU ya Azam FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni...

TFF YATANGAZA KUTHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO,...

0
 DAR ES SALAAM.Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetanga kuwa timu nne nchini zitashiriki michuano ya Afrika msimu ujao ambapo timu mbili zitacheza Ligi...

SERIKALI YAZITAKA SHULE KUTENGA MAENEO MAALUM YA MICHEZO.

0
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Caroline Nombo akizungumza na wachezaji wa Netiboli wa mkoa...

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNDP jijini Dodoma.

0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo...

RC MAKALLA AWATAKA WEZI WA MAFUTA KUJISALIMISHA MARA MOJA.

0
 DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amethibitisha kuwepo kwa tatizo la wizi wa Mafuta ghafi kupitia Bomba kuu...