Home SPORTS TFF YATANGAZA KUTHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO, MBILI...

TFF YATANGAZA KUTHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO, MBILI LIGI YA MABINGWA NA MBILI KOMBE LA SHIRIKISHO

 DAR ES SALAAM.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetanga kuwa timu nne nchini zitashiriki michuano ya Afrika msimu ujao ambapo timu mbili zitacheza Ligi ya Mabingwa na timu mbili nyingine zitashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho.

Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na mshindi wa pili watacheza moja kwa moja Ligi ya Mabingwa, wakati mshindi wa tatu na bingwa wa Kombe la TFF, maarufu kama Azam Sports Federation Cup ( ASFC) watacheza Kombe la Shirikisho.
Previous articleSERIKALI YAZITAKA SHULE KUTENGA MAENEO MAALUM YA MICHEZO.
Next articleUONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 MWAKA HUU.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here