BOT YAIKUMBUKA SEKTA BINAFSI YAPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA KUPAMBANA NA ATHARI...

0
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga, akisisitiza jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya...

SERIKALI YATOA MAFUNZO YA UKUSANYAJI MAPATO KWA HALMASHAURI NNE JIJINI ARUSHA.

0
Katibu Tawala mkoa wa Arusha Athuman Kihamia akiongea na wanahabari baada ya kufungua mafunzo ya uboreshaji wa ukusaji mapato kwa halmashauri nne za mkoa...

PSSSF YAWANOA WASTAAFU WATARAJIWA JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA.

0
Meneja wa mafao mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa serikali(PSSSF) Mkehenge Ramadhani akiongea na waandishi wa habari katika semina yao kwa wastaafu...

KITUO CHA KUPOZA UMEME KUJENGWA KONGWA.

0
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani(kulia) akizungumza na wakazi wa Kibaigwa wakati wa ziara yake ya kukagua miundombinu ya umeme katika Wilaya ya Kongwa...

RC MKIRIKITI: HALMASHAURI TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO KWA UBORA

0
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti akishuka mlimani kutoka kukagua tenki la maji wakati alipotembelea mradi wa maji Kasekela kitongoji cha Kipenzi...

STAMICO KUWASAIDIA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI

0
Na: Cymon Mgendi, SHINYANGA. Shirika la madini la Taifa STAMICO kupitia mgodi wake wa STAMIGOLD limesema kuwa limejikita katika kutafiti,kuchimba Pamoja na kuchenjua...