_▪️Awataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira_ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa wasanii na Taifa, kuongeza fursa za ajira, kurasimisha kazi za sekta sambamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani...
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 17-2025.
Arusha 16 Mei 2025 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, itayojengwa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kama...
Mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Kibugumo ya Kigamboni, Mohamed Abubakari Muhidin (13), wa kwanza kulia, akimhoji mmojawapo wa dereva aliyekamatwa nje ya barabara karibu na shule hiyo katika ‘Mahakama Kifani ya Watoto’ kwa kukiuka alama...