Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Methusela Ntonda akisikiliza Maelezo kutoka kwa Bi. Eliafile Solla alipotembelea banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye ufunguzi wa maonesho ya Kazi za Utamaduni na Sanaa.
Mamlaka ya Elimu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wakati alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Getrude Mongela. Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ya kukagua miradi ya maendeleo ikiwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 25, 2025 amewasili mkoani Mwanza ambapo ataelekea Nansio-Ukerewe kwa ziara ya siku moja.
Akiwa katika kisiwa hicho Mheshimiwa Majaliwa atakagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali yenye hadi ya Huduma za Rufaa ya Mkoa, ataweka...
Na. WAF, Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Afya imewafikia walengwa wa huduma za chanjo nchini kwa zaidi ya asilima 95 kwa kutekeleza na kuimarisha afua mbalimbali za chanjo.
Hayo yamesemwa na Afisa kutoka Mpango wa Taifa wa Chanjo, Wizara ya Afya,...
Dodoma.
Serikali imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma, usimamizi wa rasilimali za umma na kukuza mapato yasiyo ya kodi.
Vipaumbele hivyo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali zote mbili chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi zimedhamiria kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa...