Na. Mwandishi wetu, Iringa
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Uchaguzi wakati wa utekelezaji wa awamu ya pili ya zoezi...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza katika Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up (FfD Forum), lililowahusisha mawaziri wa Fedha, Mipango, Mambo...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Aprili 29, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari, inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Grand Melia jijini Arusha
Maadhimisho hayo yanalenga kubadilishana mawazo na kufanya majadiliano kuhusu...
Na. WAF, Tabora
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiasa jamii kuwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wote wanaostahili kupata chanjo wanapata ili kujikinga na magonjwa kwakuwa mtoto asipopata chanjo anakuwa hatarini kupata maambukizi ya magonjwa.
Waziri Mhagama ameyasema hayo leo...
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Mawakala wa Fordha yamekamilika huku viongozi wa sekta mbalimbali wakitarajiwa kushiriki katika kujadili njia bora za kuimarisha mifumo ya forodha na kuhimiza biashara ya kimataifa. Mkutano huo, unaotarajiwa kufanyika kuanzia...
MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Joseph Kulangwa, ametoa mwito kwa taasisi za habari kuimarisha ushirikiano na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuhakikisha upatikanaji wa sheria bora za habari zitakazohakikisha uhuru...