WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo na shughuli za kiuchumi kwa jamii jamii zikiwemo za kilimo, uvuvi, ufugaji na biashara. Amesema hayo leo (Alhamisi, Oktoba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot Bw. Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es...
Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT) katika kikao chake kilichofanyika mtandaoni, Septemba 28, 2024, kwa mamlaka kiliyopewa na Mkutano Mkuu wa RUJAT, pamoja na mambo mengine kimejadili maombi 66 ya uanachama na kupitisha waombaji...
Tanzania may not have an extensive list of beers, but the ones it offers are truly exceptional. Here’s a rundown of the top beers you absolutely must try when visiting Tanzania: Serengeti Premium Lager: A true Tanzanian classic, Serengeti Premium...
JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limeshtushwa na taarifa za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha kwa siku 30 leseni za huduma za maudhui mtandaoni za kampuni ya Mwananchi Communications Limited (The Citizen, Mwananchi Digital, Mwananchi na MwanaSpoti) kutoa huduma...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)...