Jina langu ni Abeli, nakumbuka nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana, nilimgharamikia kila kitu kwa lengo la kuja kumuoa hapo baadaye lakini akaja kunisaliti na mtu mwingine na kuniacha bila huruma, kamwe siwezi kusahau.
Mpenzi wangu huyu, nakumbuka katika...
If you missed #SerengetiOktobaFest 2023, we have just one word for you FOMO! Last year, we brought the house down with the perfect fusion of culture, community, and of course, the ultimate beer (Serengeti lager) that brought us all...
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki Mahafali ya 65 ya Shule ya Msingi Matongo na kuwapongeza Walimu,Wazazi na Wanafunzi kwa jitihada za kupandisha ufaulu.
Aidha amekabidhi Mashine ya kudurufu yenye thamani ya Sh Milioni 3 ikiwa ni ahadi aliyoitoa...
Malunde com:
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha kwenye Kikao cha TANESCO Mkoa wa Shinyanga na Wadau Wakubwa wa Umeme mkoani humo leo Alhamisi Oktoba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili...