Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa Nchi Wanachama wa Ziwa Tanganyika kuendelea kulinda ziwa hili ili lisaidie katika shughuli za kijamii.
Ametoa witi huo wakati akiwasilisha taarifa wakati wa...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amezindua kiuatilifu hai cha kuangamiza wadudu dhurifu kwenye mazao (THURISAVE – 24) kilichovumbuliwa na kampuni ya Tanzania Biotech Products Limited (TBPL) leo tarehe 4 Oktoba 2024, mkoani Pwani.
Kiuatilifu hicho cha Thurisave kinadhibiti...
*Dkt. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia
*Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji
*Marekani kuendeleza ushirikiano na Afrika matumizi Nishati ya Nyuklia
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Tanzania imeeleza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU),Prof. Charles Kihampa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Oktoba 4,2024 jijini Dodoma kuhusu kuongeza muda wa udahili kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika programu ambazo bado zina...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho Mhe.Neo Matjato Moteane wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mashoeshoe Mjini Maseru nchini Lesotho...