Yagawa mabomu baridi 2,567 Kwa Kanda 7 kuimarisha zoezi la kufukuza tembo. Na. Joyce Ndunguru, Morogoro. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA, imegawa mabomu baridi 2,567 kwa Makamanda wa Kanda (7) za Uhifadhi za TAWA kwa ajili ya kuendelea...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye sekta zote ikiwemo Afya, Maji, Elimu na Miundombinu ya Barabara. Amesema hayo leo (Jumamosi, Oktoba 05, 2024)...
* Dkt. Biteko Asema Matumizi ya Teknolojia na Nishati Safi katika Shughuli za Madini Hayaepukiki * Serikali Yendelea Kufanya Mapinduzi Makubwa katika Sekta ya Madini Maonesho ya Madini Geita kuwa ya Kimataifa Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu...
Korogwe, Tanga- WAZIRI wa Kilimo, Mhe.Hussein Bashe (Mb), ametangaza neema katika mradi wa Umwagiliaji Mkomazi uliopo Korogwe mkoani Tanga na kusema ndoto ya Mwalimu Julius Nyerere inatimizwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza mara baada ya kukagua miradi ya Umwagiliaji...
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua Bodi ya Ushauri ya kimataifa ya NM-AIST ambayo imeundwa mahususi kwa lengo la kushauri Baraza la Taasisi, ili kufanya elimu ya Tanzania iwe ya Kimataifa hususani katika Nyanja...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dotto Biteko ametembelea banda la PBZ Bank kwenye Maonesho ya Madini yanayoendelea mjini Geita. Mheshimiwa Dotto Biteko alipokelewa na Meneja wa Tawi la PBZ Bank Mwanza, Ndugu Yusuf Ramadhan na wafanyakazi...