Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UWT Taifa, Ndugu Mariam Abdallah Ulega (kushoto) akikabidhi Taulo za kike kwa wasichana wanaosoma katika Shule ya Sekondari Ngokolo iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga. Kulia ni Mwalimu wa Ushauri Nasaha na Malezi wa Shule ya...
Na; Sophia Kingimali. VIONGOZI wa Vyama vya siasa nchini (CHAUMA, UPDP, CCK na ACT Wazalendo) wamesema wamejipanga kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu kwa kuridhishwa na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unatumia falsafa...
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Yasistiza matumizi salama ya Kemikali kwa Wachimbaji Katika Maonyesho ya 7 ya Teknolojia Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inashiriki kwenye Maonyesho ya 7 ya Teknolojia kwa malengo makuu manne,...
Ujumbe kutoka Comoro, ukiongozwa na Gavana wa visiwa vya Ngazija, Mheshimiwa Mze Mohammed Ibrahim, umetembelea shamba la kilimo la Ubena Estate lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani. Ziara hiyo imelenga kubadilishana uzoefu wa ufugaji wa mifugo...
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya Barrick, Mark Bristow akifunua kitambaa kuashuria uzinduzi wa shule hiyo iliyojengwa na mgodi wa North Mara.   ** Rais na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya Barrick, Mark Bristow. amekabidhi kwa uongozi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt Doto Biteko ameipongeza na kuridhishwa na huduma zinazotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kwa kuwafikia wafanyabiashara na kutoa huduma na hamasa ya kurasimisha biashara zao. Mhe. Dkt Biteko...