Na: Mwandishi wetu, GEITA  Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo Mkoa wa Geita, Eva Ikula, amewahimiza wadau katika sekta ya madini kuhakikisha wanatumia mizani iliyohakikiwa na WMA ili kutambua uzito halisi wa madini yanayonunuliwa na kuuzwa. Ameyasema hayo kwenye maonesho ya saba...
Ofisa Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Getrude Mbiling’i (kulia) akimuelekeza mteja kujaza fomu ya malalamiko kuhusu huduma zinazodhibitiwa na EWURA katika viwanja vya Shule ya Msingi Uyui Tabora ikiwa ni sehemu ya maadhimishk ya...
Vivo Energy Tanzania, kampuni inayosambaza vilainishi vya Shell na Engen, imezindua rasmi kampeni yake mpya kabisa, ‘Shell Tumerudi Kivingine Kata Kilomita’, inayolenga kurudisha upya vilainishi vya Shell katika soko la Tanzania. Mhe Chalamila amezindua kampeni hii Leo Oktoba 7,2024 akishirikiana...
Na Mwandishi wetu, Dodoma Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Kwa umma wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini - TAWA Beatus Maganja amesema taasisi ya TAWA imejipanga vyema katika kulinda maisha ya wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori...
Mbunge wa Jimbo la Busanda , Mhe. Tumaini Brygeson Magessa amewataka wajasiriamali wanaoshiriki katika maonesho ya 7 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini katika viwanja vya EPZA Bombambili mkoa wa Geita kutumia fursa hiyo kurasimisha biashara zao ili ziweze...
Meneja wa Uhusiano wa Umma na Masoko wa TANTRADE Lucy Mbogoro, akionesha baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa Tanzania katika banda hilo.  Na; Mwandishi wetu, GEITA. Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imeungana na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuratibu Maonyesho ya...