http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JANUARI 21_2026.
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Andrés Iniesta, gwiji wa soka wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Spain, walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Casablanca wakijiandaa kuondoka. Iniesta, ambaye kwa...
Atoa wito kwa viongozi wa ngazi zote za Kitaifa, kuhudhuria vikao vya Chama kwenye ngazi za Mashina. Asema ni mahala pa kuikusanya jamii pamoja, kutangaza kazi nzuri inayofanywa na Rais Dkt. Samia. Ala chakula na Mabalozi wa mashina Katibu Mkuu wa Chama...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Dkt.Asha Rose Migiro,amezindua Shina la wakereketwa wa CCM Makunduchi lililopo Mtaa wa Uhuru Wilaya ya Dodoma Mjini,na kuwapongeza kwa kutumia shina hilo kama sehemu ya kujiongezea kipato bila ya kujali itikadi zao. Akizungumza na wajumbe...
::::::::: Kanisa la Mlima wa Moto Tanzania limesema linatarajia kufanya maombezi maalum ya kuliombea Taifa la Tanzania kupitia Kongamano la Neno la Mungu lililopewa jina la *Anza Mwaka na Bwana*. Akizungumza na waandishi wa habari katika Kanisa la Mlima wa Moto...