Jina langu ni Fetty kutokea Tanga nchini Tanzania, kipindi nasoma sekondari nilikua na mahusiano na mkaka mmoja ambaye alikuwa anasoma shule ya hapo jirani.
Yalitoka matokeo ya kumaliza sekondari nilifaulu vizuri, nilichaguliwa kwenda kidato cha tano nilifurahi sana lakini mwenzangu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili leo tarehe 20 Novemba 2024 katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
http://KATIBU...
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Gavu amewasili mkoani Geita leo...
Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea mafanikio ya kitaifa.
Siku ya jana, Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ulijaa furaha...
Jina langu ni Maliki, ni kijana wa miaka 31, naishi Mwanza, Tanzania, miaka kadhaa iliyopita nilisingiziwa kesi ya ubakaji jambo ambalo halikuwa kweli hata kidogo.
Walidai kuwa nimembaka mtoto wa darasa la saba, cha kushangaza huyo wanayedai kuwa nimembaka sikuwahi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe....