Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge amezindua kampeni ya "Usipime Nguvu ya Maji" leo tarehe 03 Mei,2021 kwa kuwataka wananchi wa Mkoa huo kuchukua tahadhari ya Mafuriko ya Maji yaendayo kasi.Akiongea na Wahariri wa...
LEO Mei 3, 2021, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote duniani kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani.Siku hii ya kimataifa ilitangazwa rasmi na Baraza Kuu la...
Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki kwenye kilimo toka Wizara ya Kilimo Bw. Revelian Ngaiza (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa SAT Bi. Janet Maro (kushoto) wakitazama mti wa karafuu ulipondwa na kikundi cha vijana Tugende...
Na: Maiko LuogaSerikali imepanga kutumia Shilingi milioni 250 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mkoani Singida ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wananchi katika kujenga na...