Tazama Video 👇👇 
Na:Catherine Sungura.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahakikishia wakunga kwamba Serikali itaendelea kusimama nao vema ili waweze kutimiza majukumu yao ipasavyo katika kusimamia akina mama kujifungua salama.Dk. Gwajima ametoa pongezi hizo mapema...
Na. MWANDISHI WETUKAMPUNI ya Sems Apparel limited, pamoja na wadau wa mitindo Ety'screation wameandaa  harambe ya kuchangia watu wenye mahitaji maalum katika jamii.Harambee hiyo itafanyika Mei 8 Osterbay Msasani, kwa kushiriki katika Iftari ambayo itafwatiwa na onyesho la mavazi...
Na:Mwandishi wetu.MUANDAAJI  wa shindano la urembo mkoani Pwani, Maryam Ahmed ambaye ni mmilikiwa wa kampuni ya Twiga Entertainment, anawakaribisha wadau mbalimbali kujitokeza kudhamini shindano hilo mwaka huu.Maryam Ahmed 'Twiga' ni moja ya wadua wakubwa wa shindano la urembo hapa...
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai awaongoza Waheshimiwa Wabunge katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba.(Picha...