NA:  WAMJW-DODOMA.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imetoa mafunzo kwa wabunge wa Bunge la Tanzania kuhusiana na magonjwa ya Kifua Kikuu na Ukoma ili kuwajengea uwezo na uelewa kuhusu magonjwa haya mawili yanayosumbua jamii.Akiongea...
Mkuu wa Mkoa wa kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akiongea na Viongozi wa Mkoa, Wilaya na Halmashauri wakati wa kikao kazi cha uraghibishaji na uhamasishaji wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele kwenye Mkoa huo ambacho kiliwajumlisha Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Ndege ya Tanzania baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo, kuanza ziara ya siku mbili nchini Kenya, akiwa nchini humo atakutana na kufanya mazungumzo na...
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge  amezindua kampeni ya "Usipime Nguvu ya Maji" leo tarehe 03 Mei,2021 kwa kuwataka wananchi wa Mkoa huo kuchukua tahadhari ya Mafuriko ya Maji yaendayo kasi.Akiongea  na Wahariri wa...