Afisa Mtendaji mkuu wa Sanlam Life insurance limeted & Sanlam general insurance, wa katikati Bwana Julius Magabe akiongea na waandishi wa habari.Na Richard MrushaWito umetolewa kwa jamii kujiunga na huduma za  Bima mbalimbali kwani zinaumuhimu mkubwa Sana kwa mustakabali...
 Na:Simon Mghendi, KahamaWaziri wa Madini Doto Biteko amesema kuwa wachimbaji wadogo wa madini nchini wamekua na mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa.Biteko ameyasema hayo  Wakati akikabizi leseni za uchimbaji wa madini kwa wachimbaji wadogo katika mgodi wa Mwabomba uliopo...
Katibu mkuu wizara ya Ujenzi na uchukuzi Gabriel Migire akizungumza na waandishi wa habari kwenye Kakao kaziMkurugenzi wa TASAC, Bwana Kaim Mkeyenge akizungumza na waandishi wa habari.Na: Richard Mrusha.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Gabriel Migire amewataka shirika...
 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021katika Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya...
 Na:Maiko Luoga.Serikali imeandaa mfumo wa kielektroniki  ili kuchuja kwa uhakika uhamisho wote unaoombwa na kuwezesha Watumishi wa maeneo ya Vijijini kubaki katika maeneo hayo wakiendelea na majukumu yao badala ya kuomba kuhamia maeneo ya mijini.Hayo yamesemwa mei 06/2021 Bungeni...