Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR -TAMISEMI) imepata kibali cha ajira za Watumishi wa Kada mbalimbali za Afya 2,726 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na Walimu 6,949...
DODOMA.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. James E Mdoe, amewataka wananchi jijini Dodoma kuendelea kutembelea banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) ili kuweza kupata elimu juu ya kilimo bora cha mazao mbalimbali...
Afisa Mwandamizi- Utumishi na Utawala kutoka Idara ya Miliki Ubunifu BRELA, Bw Raphael Mtalima akifafanua juu ya sifa za Uvumbuzi unaoweza kusajiliwa kama Hataza kupitia BRELA wakati wa mashindano ya MAKISATU yanayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo....
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe pamoja na viongozi alioambata nao wakionesha kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji kwa Mkoa wa Tabora mara baada ya uzinduzi rasmi.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya KilimoTanzania...
Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha GGR wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Geita, tarehe 8 Mei 2021. (Picha Zote Na...