Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa Mkutano huo.
........
Wadau mbalimbali wa mkoa wa Morogoro wametoa maoni, ushauri na kuwasilisha malalamiko yao kuhusu huduma zinazodhibitiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma...
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 21,NOVEMBA 2024.
Na Neema Mtuka, Rukwa
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Taifa na Nape Moses Nnauye amewataka wagombea wa nafasi ya mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kufanya kampeni zenye tija na kuchochea maendeleo.
Akizungumza leo Novemba 20 2024 mjini Sumbawanga Ndugu...
_Kupokea Wanachama Wapya zaidi ya 50 kutoka Vyama vya Upinzani_
_Kuwanadi Wagombea 327 wa Vijiji na Vitongoji vilivyopo ndani ya Wilaya ya Kibiti_
_Umoja na Mshikamano kuchochea Siku 7 za Moto kuelekea siku ya Uchaguzi_
Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu...
-Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
-Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
-Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani
-Awataka washindi kuwatumikia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali na kumpa pole mmoja wa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Ilala Jijini...