Kwa jina naitwa Juliana kutoka Kigoma, Tanzania, nimefanya kazi sana katika kampuni nying, nilikuw napata fedha za kunitosha mimi na familia yangu pamoja na baadhi ya ndugu zangu.
Nikaendelea kufanya kazi vizuri kila mwisho wa mwezi nilikuwa naingiziwa kwenye akaunti ...
Tabora
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini.
Hayo yamebainishwa leo Novemba...
Na WAF - Dar es Salaam
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhruri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zitaendelea kushirikiana na wadau pamoja na taasisi zote...
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Issa Gavu amesema Chama Cha Mapinduzi kimejipanga na kujidhatiti katika kuwatumikia Watanzania katika kuwaletea maendeleo.
Gavu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Geita...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 21, 2024 ni mgeni rasmi katika mkutano wa pamoja wa Mawaziri na Viongozi wa juu wa Shirika la Afya Duniani kuhusu hali ya Utekelezaji wa Afya kwa Wote na Utayari wa Kukabiliana...
Muonekano wa jengo la Mtanda Complex linalojengwa na Shirikla Nyumba la Taifa (NHC) mkoani Lindi
NA MWANDISHI WETU,LINDI
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kuwa chachu ya maendeleo katika Mkoa wa Lindi kwa kutoa huduma bora za makazi na biashara...