*Rais Samia Avunja Rekodi Miradi ya Maendeleo Chato*
*Asema CCM Itabeba Vyote*
*Kalemani Ataja Mabilioni ya Miradi Chato*
*Asema CCM Inatekeleza Ahadi*
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni...
Mwandishi Wetu ,Manyara.
Taasisi isiyokua kiserikali ya Mati Foundation yenye lengo la kusaidia jamii ,wahitaji na makundi maaalumu ikiwemo wenye ulemavu iliyoko chini ya kampuni ya Mati Super Brands Limited imezinduliwa rasmi leo na Mkuu wa Wilaya ya Babati Emmanuela...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu...
*NIRC Singida.*
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwani hatua zinazochukuliwa zitaboresha maisha ya Watanzania...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imetakiwa kuimarisha matumizi ya teknolojia, na kuhakikisha kwa kiasi kikubwa inafanya shughuli zake kidigitali ili kwenda sambamba na kasi ya ukuaji wa teknolojia hapa nchini na Duniani kote kwa ujumla wake
Maagizo hayo...
Jina langu ni Nasra kutokea Tanga nchini Tanzania, miaka kadhaa nyuma iliyopita nilijikuta kwenye sehemu ya mauzauza, nilikuwa naota ndoto mbaya, nilikuwa katika mazingira ya shule, kwa kuwa mazingira yale yalijaa mauzauza sikuweza kushangaa sana.
Ilikuwa haipiti wiki mimi sijaugua,...