Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda amekishuruku Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten kupitia Kipindi chake cha Masotojo kumpatia tuzo ya heshima kutokana na mchango wake kwenye jamii.
Akizungumzia tuzo hizo Mwakagenda alisema anaishukuru Chanel Ten kwa...
WAANDISHI wa habari wa Mkoa wa Manyara na wafanyakazi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) wameongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni maalum ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kupitia...
Na Lilian Ekonga
Taasisi ya wahandisi Tanzania (IET) kwa kushirikian na Bodi ya usajili wa wahandisi (ERB) imeandaa kongamano la kimataifa la 14 ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo
Akizungumza na waandishi wa habari jana...
Jina langu ni Mami kutoka Mwanza, Tanzania, mwaka mmoja baada ya kufunga ndoa na mume wangu Kelvin mambo yalianza kubadilika hasa kwa upendo aliokuwa nao mwanzo mume wangu alipunguza.
Hali hii ilinipa wasiwasi mkubwa sana lakini kiukweli mume wangu nilimkabidhi...
Jina langu ni Sauda kutokea Moshi Tanzania, nimeishi katika ndoa zaidi ya miaka saba sasa na mume wangu, Jose katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu sana msongo wa mawazo.
Kila wakati...
*Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia*
*Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo*
*Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima*
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia...