MUUNGANO wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) umezindua kampeni maalum za siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto mwaka 2024 kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Kauli mbiu ikiwa 'Baada ya miaka...
Tanzania inatarajia kuungana na nchi zaidi ya 50 duniani katika kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, yanayochangia uharibifu wa mazingira kwa ujumla na wakati huo ikiendelea kukuza utalii. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania Bw....
*Asema waliwekeza nguvu kufanya maandamano badala ya kujiandaa    *CCM kufunga kampeni zao kwa kishindo katika mikoa yote,DK.Nchimbi kuhitimisha Mbagala     Na Mwandishi Wetu   KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chadema waache...
Kama ambavyo imekuwa ikifanya miaka ya nyuma, Kampuni ya Barrick nchini, mwaka huu tena inaungana na Serikali na wadau mbalimbali nchini katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kupitia migodi yake ya North Mara na Bulyanhulu.   Kampeni...
Na Lilian Ekonga. Dar es salaam. Tanzania kupitia shirika la uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji kwenye wa Makutano wa saba (7) wa akimataifa wa jumuiya ya Mamlaka za usimamizi wa usafiri Majini Barani Afrika utakaofanyika kuanzia...