Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia vema nafasi hizo kuwaletea wananchi maendeleo.
Makamu wa Rais ametoa wito huo mara baada ya...
Julius Shedrack, aliyekuwa mgombea wa mtaa wa Viwandani katika kata ya Unga LTD jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akimsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi Novemba 27, 2024.
Akizungumza baada ya kupiga...
Na Mwandishi Wetu
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameshiriki kikamilifu kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo nchini huku akielezea kufurahishwa na hali ya...
*DKT. Biteko apongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi*
*Awahimiza kujitokeza kuwachagua viongozi*
Watanzania katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt....