Simba SC imefanikiwa kuanza vizuri Mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika hatua ya makundi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bravos do Maquis katika mchezo uliochezwa leo Novemba 27, 2024 katika Uwanja wa Benjamini...
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akipiga kura katika kituo cha Shule ya Sekondari Jamhuri kililichopo Halmashari ya Jiji la Ilala Mkoani Dar es Salaam leo. Wananchi wanapiga kura leo katika uchaguzi...
Mkuu wa Wilaya ya ILALA Edward Mpogolo amewaongoza wananchi wa Wilaya hiyo kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaofanyika leo nchi mzima Tanzania Bara.
Akizungumza mara baada ya kupiga kura yake katika Mtaa wa Karume Kata ya Ilala,...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mhe. Jerry William Silaa, ameungana na wananchi wa mtaa wa Gulukakwalala katika zoezi la upigaji kura la kuchagua kiongozi wa Serikali za Mitaa. Zoezi hili...
http://NIMEPIGA KURA; ILI KUTIMIZA HAKI YANGU YA KIKATIBA- MHE.KAPINGA
*Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza*
*Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura*
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupiga
kura katika Kitongoji cha Mheza...