Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesisitiza kuwa Serikali haitavumilia vitendo vyovyote vya unyanyasaji dhidi ya watu wenye ulemavu, akiahidi kuchukua hatua kali kwa wale watakaobainika kuhusika.
Dkt. Biteko alitoa kauli hiyo leo Jijini Dar...
http://VIONGOZI WAWASILI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT NDUGULILE
Viongozi mbalimbali akiwemo Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Naibu Spika la Tanzania Mussa Azzan Zungu, Mawaziri...
#Awataka watumishi kuchapa kazi kutimiza lengo la Serikali
Dodoma
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za VIjijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewashukuru Watanzania wote waliojitokeza na kumpigia kura wakati akiwania tuzo za Mtendaji/Mkurugenzi Mkuu Bora wa mwaka 2024...
Na Emmanuel Buhohela
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewaongoza Viongozi Wakuu wa Wizara akiwemo Naibu Waziri Mhe. Dastan Kitandula kupokea rasmi Tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii wa Safari Duniani 2024.
Akizungumza wakati wa kupokea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 01...
Umoja wa Madale Wadau Group umefanikiwa kujenga kituo cha polisi kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 250. Mwenyekiti wa kikundi hicho, Stephen Kazimoto, alitoa taarifa hiyo leo, Novemba 30, 2024, wakati wa maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa kikundi...