Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, (kushoto) akikagua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji ngazi ya jimbo yaliyokuwa yakifanyika kwa siku mbili katika kituo cha Shule ya Sekondari Ilboru Mkoani Arusha  alipotembelea mafunzo...
Wafanyakazi wa Barrick wakishangilia mafanikio ya kampuni baada ya ushindi wa Tuzo za ATE katika vipengele mbalimbali
Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Apolinary Lyambiko (kushoto) akipokea kikombe cha Tuzo ya Ushindi wa Mwajiri bora ilipopokelewa mgodini.
Meneja Mkuu wa...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Katikati) akiongoza Majadiliano ya Ngazi ya Juu kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo, kuhusu muskabari wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF, uliofanyika Jijini...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.
Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini Mchango wa Uongozi...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu hali ambayo itaongeza ufanisi katika kuhudumia kundi hilo ambalo ni wachangiaji wakubwa wa mapato ya...
Na.Alex Sonna-DODOMA
WATAALAMU wa MipangoMiji wamejifungia kwa siku mbili jijini Dodoma kuweka mikakati namna ya kuhakikisha mipango iliyowekwa inadumu.
Akizungumza jijini Dodoma kwenye mkutano mkuu wa tisa wa Mwaka wa Maofisa Mipangomiji Tanzania, Naye, Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wataalamu...