*Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika* Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); kuanzia tarehe 20 Januari, 2025 itaanza kusambaza mitungi ya gesi ya kilo 6 mkoani Singida ili kusaidia Wananchi...
http://DKT. KAZUNGU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME DAR ES SALAAMNi ya Uzalishaji na Usafirishaji umeme *Lengo ni kuhakikisha uwepo wa umeme wa uhakika Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ametembelea miradi mbalimbali ya uzalishaji na usafirishaji umeme inayoendelea...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF umekamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Upenja katika Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kazkazini Unguja, Visiwani Zanzibar. Kituo hicho kimezinduliwa rasmi leo jumapili Tarehe 22.12.2024 na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi...
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 21, 2024 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tenki la kuhifadhi maji la Kisesa, mkoani Mwanza ikiwa ni Mpango wa muda wa kati...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ipo imara na inaendelea kuwahudumia watanzania ili kuhakikisha huduma muhimu za kijami zinawafikia watanzania wote. Amesema hayo leo (Jumamosi, Desemba 21, 2024) alipokagua alipoweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la...