Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan anawajali watu wenye Mahitaji Maalum kwani ameweka mazingira mazuri ya kuwalinda...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Baraza ya Mwera-Polisi - Kibonde Mzungu ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha kutimia miaka 61 ya Mapinduzi Mtukufu ya Zanzibar ya...
Katika kuadhimisha sikukuu za mwisho wa mwaka zinazoendelea, Mgodi wa Barrick North Mara, umetoa zawadi kwa makundi mbalimbali yenye mahitaji kwenye jamii katika wilaya za Tarime na Serengeti ikiwemo vituo vya kulea watoto yatima, na wazee wa kimila ili...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi tuzo ya kutambua mchango wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuwezesha tasnia ya mchezo wa ngumi nchini, kwenye tukio maalum la pambano...
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 26, DISEMBA 2024.