▪️Asema tusikumbatie tamaduni zinazokwenda kinyume na maadili na ustaarabu
▪️Prof. Kabudi asema sarakasi ni mchezo unaongoza kuliingizia Taifa fedha za kigeni
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana wajibu wa pamoja wa kuhakikisha urithi wa utamaduni wa Taifa unalindwa, unaenziwa na...
Dodoma
WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa.
Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda, aliposimama kuwasalimia, akiwa njiani kuelekea Musoma, Jumanne, tarehe 22 Aprili 2025. Balozi Nchimbi leo ameanza ziara ya siku tano katika maeneo...
Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umeanza leo Aprili 22, 2025 jijini Arusha ambako ndiyo Makao Makuu ya Jumuiya hiyo.
Mkutano huo utakaofanyika kwa ngazi ya Wataalamu Aprili 22 na 23, 2025; ngazi ya Makatibu Wakuu...
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema siku ya Jumatatu imefanikiwa kuzuia "njama kubwa" iliyokuwa ikipangwa kwa lengo la "kuleta machafuko makubwa", ikisema kwamba inaamini wapangaji wa njama hiyo wako katika nchi jirani ya Ivory Coast.
Tangu Septemba 2022, Burkina...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga - Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo...